DRAW THE LINE


Usimfananishe wala kumlinganisha BWANA YESU na kitu chochote au mtu yoyote unaemfahamu au kumsikia.Bwana Yesu ni mkubwa kuliko wazazi wako.Yeye ni mkubwa kuliko wakuu wako wote,infact ni mkubwa kuliko hata wewe mwenyewe.Alichokifanya Bwana Yesu kwetu HAKUNA MWINGINE ANAWEZA KUFANYA.

Bwana Yesu ni zaidi ya Mchungaji wako kiongozi au Askofu Mkuu au padri wako au Papa au Shehe au mama yake Yesu(Maria) au yoyote.Kumbuka hao wote wamepata majina yao toka kwa Bwana Yesu...hakuna hata mmoja aliyejuu yake.Shika hii YOHANA 14:6..YESU KRISTO NI NJIA,KWELI NA UZIMA...Kama unasafari ya kumuona Mungu basi tengeneza njia zako,utubu na kumpokea Bwana Yesu aingie ndani ya moyo wako...vinginevyo utaishia kwenye dhehebu lako au kijiji chako.Huu ni UKWELI MCHUNGU SANA ila ni muhimu ukajua. MFANYE YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO LEO. DRAW THE LINE.Hata kama unampenda sana huyo mtumishi anaekuongoza ujue hakika kuwa HAWEZI KUWA JUU YA YESU. BWANA YESU NDIYE MWANZILISHI WA KANISA,HAIWEZEKANI KANISA LIKAWA KUBWA KULIKO YEYE.Mimi na wewe ni kanisa, yaani mwili wa Kristo. DRAW THE LINE. USIMFANANISHE YESU KRISTO NA WAKUU WA DINI. AMEN.

Ukiri Wangu:Jesus is my ROCK.He is my King of Glory.He is my salvation and redemption.He is the center of my JOY and the reason why I am still alive.Only in Him I find the full pleasure of life now and then.He is the function of anything better for life and godliness. In Him I LIVE,MOVE and HAVE MY BEING. He is my pride,yes my fullness. I confess that without Jesus there is no hope for me,for He is the center of all destinies. Jesus,the DIFFERENCE. By Raphael JL

Maoni