Ukiamua vizuri usijisifu


Ikitokea umeamua vizuri usijisifu ukadhani umemfunika Mungu, kumbuka  Mungu ni mkubwa kuliko kichwa chako na ndo maana aliweza kukiumba na kukupa utashi na uwezo wa kufikiri.

Maoni