Jitunze


Kutumia ujana kama sababu ya kukosea na kutenda dhambi tu kwa sababu wanasema ujana maji ya moto ni sawa na kujiunguza mwenyewe kwa maji ulochemsha mwenyewe halafu ukalilaumu jiko au moto.

Maoni