Kujishtukia na kutokujiamini


Kujishtukia ni moja kati ya ishara za kutokujiamini, kila kutojiamini kuna sababu nyuma yake. Huwezi ukajishtukia katika mambo unayoyajua na una uhakikia nayo.

Maoni