Dini safi


Kuna watu wana njaa unatakiwa uwape chakula, wenye kiu uwanyweshe, wageni uwakaribishe, walio uchi uwavike,wagonjwa ukawatazame na walio kifungoni ukawaendee kuwatia moyo.

Maoni