Unachokifanya leo kina uwezo wa kujenga au kuboa jina lako


Kila unachokifanya leo kina uwezo wa kujenga au kubomoa jina lako; jina likichafuliwa ujue ni wewe umechafuka.

Angalia ubora wa mawazo yako kwa kupima taarifa unazopokea ili maamuzi yako ya kusaidie kukujengea jina.

Maoni