Usimpe mtu nafasi ya Mungu


Hata akusaidie kwa kiwango gani na umpende kuliko ujipendavyo, usimpe huyu mtu nafasi ya Mungu moyoni mwako; utukufu wa Mungu ni wa Mungu tu.

Maoni