Utofauti kati ya kujiremba na kujipamba Imechapishwa na Bila jina tarehe Agosti 13, 2016 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Kuna tofauti kubwa sana kati ya kujipamba na kujiremba ili uwe mrembo na kufany hivyo kuwa wewe ni mrembo kwa asili yako; utofauti wake ni kujitambua, kumbuka kujikubali kuna anzia ndani yako na kwamba kutokujikubali ni ishara ya kutokujitambua. Maoni
Maoni
Chapisha Maoni