FROM STREET TO CORRIDORS



Walikukataa mara ya kwanza umeenda. Unakumbuka walikuwa hawapokei simu yako? Kila wazo ulilotoa lilionekana halina mashiko. Wewe mwenyewe kumbuka ulivyokuwa unaomba MADHABAHU ukidai una RHEMA lakini bado ulipigwa chini. Umezaliwa kijijini na wazazi masikini. Ulishakuwa mtoto wa mtaani kwani wazazi wako walikuwa hawaeleweki. Ulishafanya yote, umeiba, uvuta bangi, kunywa gongo umepigana na kupiga na kupigwa mara kadhaa. Ulishawahi kukaa njaa bila kupenda kwa simu kadhaa.Ugumu wa maisha ulikufanya UJIUE lakini hujafa mpaka leo. Ulikuwa unakula JALALANI kama kichaa. AS LONG AS YOU ARE NOT DEAD. As long as your mistakes DIDNT KILL YOU basi elewa kwamba Mungu amekutoa from STREETS TO CORRIDORS just like me.

Maoni