HEART 2 HEART WORSHIP-KINACHOMBADILISHA MTU


Kinachobadilisha watu sio vyombo vya mziki bali NGUVU ZA MUNGU zilizo ndani ya mpigaji.Kinachobadilisha watu sio uzuri wa sauti bali UWEPO WA MUNGU ndani ya maisha ya muimbaji. Wekeza kote kuwili,mtake Bwana na nguvu zake bila kusahau kupata ufahamu sahihi kwenye kipaji chako. Ila usisahau, Mungu Kwanza. DONT ABORT THE PROCESS. His Presence,my DESTINY.Heart2Heart Worship Moments by Raphael JL:

Maoni