Njia rahisi ya kufanyika kuwa MWABUDU HALISI ni lazima
UKUTANE NA YESU, yaani ufunuliwe Yesu ni nani kama alivyofunuliwa Petro na
kujua kuwa Yesu ni Masihi, mwana wa Mungu. YOU MUST ENCOUNTER JESUS and get a
revelation of WHO HE IS. Mkumbuke mwanamke msamaria, alipotambua na kukubali
kuwa Yesu ndiye MASIHI maisha yake hayakubaki vile yalivyo. Je, wewe? Ukiona
unapenda sana kuimba (ukidhani kuwa ndiyo KUABUDU) au kucheza sana step
(Ukidhani ndio kusifu) bila kujali mahusiano yako binfsi na Mungu kupitia Yesu
Kristo utakuwa unajiburudisha na kuwaburudisha wengine bila faida. Leo unaweza
kufanya kwa tofauti. THE PRESENCE OF GOD IS MY DESTINY. Heart2Heart Worship
Moments by Raphael JL:
Maoni
Chapisha Maoni