Ibada ya kweli inatoka ndani ya MWABUDU HALISI ambaye anajua kumuabudu Mungu sio TUKIO bali ni MAISHA. Kumwabudu Mungu katika roho na kweli ni zaidi ya kuhudhuria tamasha la kusifu na kuabudu, hata hivo kusifu na kuabudu hakuna uhusiano na uimbaji kwani SIFA ni kubainisha au kuelezea uzuri wa Mungu pamoja na tabia zake na unaweza kufanya hivi hata kwa kuongea tu hata ukiwa chooni, sio lazima ufanye hivo kwenye EVENT TU. KUABUDU ni kuwa na unyenyekevu mbele za Mungu, kumwinamia, kumsujudia na kuwa na MAPENZI MAKUBWA kwa Mungu. Mwabudu Halisi anajua kuwa kusifu na kuabudu ni kama kuvuta hewa ili aishi na hawezi kusubiria kwenda kanisani ili amsifu na kumwabudu Mungu katika roho na kweli. BADILI MTAZAMO UMFAIDI MUNGU. HIS PRESENCE, MY DESTINY. Heart2Heart Worship Moments by Raphael JL

Maoni
Chapisha Maoni