Mithali 21:24, mwenye kiburi na kutakabari, jina lake
ni MBISHI. Hutenda mambo katika MAJIVUNO ya kiburi chake. WEWE JINA LAKO NI
NANI? Kumbuka kiburi na majivuno ni mapacha na ni hayo hayo yaliyomfanya
Lucifer afukuzwe mbinguni na kuondolewa kabisa katika UWEPO WA MUNGU. Leo uwe
mwangalifu sana kwani unaweza ukadhani Mungu yupo pamoja na wewe na kumbe
majivuno na kiburi kimeshakutoa. Nyenyekea chini ya mkono hodari wa Mungu
akuinue. KAA MBALI NA KIBURI NA MAJIVUNO. Mungu akusaidie. FICHUKA. DISCOVER
WHO YOU ARE IN GOD.
Maoni
Chapisha Maoni