MINDSET UPGRADE


Mindset Upgrade: Hata uwe mjinga kiasi gani, unaposikia matendo makuu na shuhuda za utendaji wa Mungu katika maisha ya watu unatakiwa upata hekima ya kujua ni Mungu tu ndiye mwenye kustahili KUABUDIWA, Zaburi 19:7. Ni muhimu kujua kuwa NENO la BWANA ni KAMILIFU na linahuisha nafsi, hata sasa kama nafsi yako imechoka inaweza kupata nguvu kwa kulitegemea NENO LA MUNGU. Anza sasa kuongeza thamani ndani ya ufahamu wako kwa kutumia NENO LA MUNGU. Empowered for Transformation. Mungu Kwanza-YKM!

Maoni