- Waswahili tunasema kidole kimoja hakivunji chawa, pia
tunasema ni heri wawili kuliko mmoja.
- Ni kweli kuwa katika njia au safari hatuwezi kukwepa
kuambatana na watu/mtu.
- Swali, JE NI NANI WAKUAMBATANA NAYE?
Nani anayekufaa katika safari yako, je huyo mtu ni mbwa
mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo au ni kondoo halisi?
-Tazama
kutoka 4:14
1samweli:20:16
1wafalme19:19
Endelea kufuatilia
Usikose kuwepo
Usikose nakala yako
40 DAYS LEFT
30/10/2016
Mratibu wa Fichuka.
Musa Joseph
0717720072
Maoni
Chapisha Maoni