Quotes by Raphael JL:
Kama unayoyajua yanakuzuia kujifunza mambo mapya na hasa kutoka kwa watu unaowaona ni wa hadhi ya chini ujue utofauti wako na Mafarisayo ni jina tu. KUMJUA MUNGU NDO MPANGO.
Fichuka.
Mungu Kwanza-YKM!
Kwa hayo na mengine mengi
Usikose kuwepo
Usikose nakala yako
51 DAYS LEFT
30/10/2016
Mratibu wa Fichuka.
Musa Joseph
Maoni
Chapisha Maoni