SOMO: HATUA ZA KUIMARISHA NGUVU YA UWEPO WAKO.


- Nguvu ya uwepo inaweza kuimarishwa na kujengwa kwa namna unaishi, unavyofanya na unavyohusiana na wengine.

- Usije ukadhani kuwa unaweza kuwabadilisha watu kwa kuwalazimisha watu watambue uwepo wako au wakuheshimu  ila matendo yako ndiyo yenye mchango mkubwa kuimarisha heshima na nguvu ya uwepo wako.

1. NIA YAKO
- Vile unavyojiweka na unavyotaka jamii ikuchulie ndivyo inavyokuwa.

2. UTU WAKO
- namna unavyohusiana na wengine, unavyojali wengine, muonekano wako na tabasamu lako hufanya wengine watambue na waone nguvu ya uwepo wako

3. HAMASA YAKO KWA WENGINE
- Tia watu hamasa kwa kila ukifanyacho

Kwa hayo na mengine mengi
Usikose kuwepo
Usikose nakala yako
50 DAYS LEFT
30/10/2016

Mratibu wa Fichuka.
Musa Joseph
0717720072

Maoni