Quotes by Raphael JL:Kujisifia kuwa una mlezi mzuri au mentor mzuri na huku hufanyi na hata huyaishi anayokufundisha ni sawa na kujivunia ujinga kwakuwa hakuna shule karibu ya kukufundisha. Kumbuka, ufahari umejificha ndani ya utukufu wa mabadiliko ya tabia na mwenendo. KUTUBU NI KUGEUKA. Jesus Up!
Maoni
Chapisha Maoni