HABARI KWAKO MFANYAKAZI ULIYE AJIRIWA AU KUJIAJIRI, MJASIRIAMALI, MFANYA BIASHARA AMBAE NI MKRISTO NA UNATAMANI KUJIFUNZA HABARI ZA UFALME WA MUNGU, NJOO UNGANA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WENZAKO WA KIKRISTO KWA AJILI YA KUJIFUNZA NA PASTOR RAPHAEL LYELA
MAHALI: DEAR MAMA HOTEL, NJIA PANDA YA AREA C (daladala za mipango au chang'ombe)
MUDA: KUANZIA SAA TISA (9) MCHANA
TAREHE: 27 NOVEMBA 2016
HAKUNA KIINGILIO
MAWASILIANO 0717720072/0766303098
Maoni
Chapisha Maoni