NOTE:Kabla sisi hatujaanza kuimba na kupiga muziki Lucifer alikuwa ameshabobea. Huwezi kumshangaza au kumtishia. Hatajali una uzuri au utanashati upi. Ukileta mchezo atakufanyia kama Adam. Utabakia kuwa MBURUDISHAJI wa matamasha ya gospel music. Alimfitini Adam ndani ya EDENI,alimtumia mkewe na kuwaharibu ndani ya uwepo wa Mungu. Yeye mwenyewe alikosea akiwa ndani ya uwepo wa Mungu. HOW SAFE ARE WE TODAY?

Maoni
Chapisha Maoni