KIPAJI BILA NIDHAMU


Quotes by Raphael JL:Kuwa na KIPAJI bila NIDHAMU ni mtaji mzuri wa uharibifu unaotokana na majivuno na kiburi cha kuwa POTENTIAL. Kipaji hakijitegemei chenyewe. Ukiona kipaji chako kina nguvu kuliko TABIA ujue Lucifer amekunong'oneza na utajikuta njia panda. FIX ME JESUS.
Mungu Kwanza-YKM!

Maoni