KIPAJI BILA UTII


Quotes by Raphael JL: Lucifer hata akisikia maandiko anatetemeka, Shida yake moja tu kubwa ambayo hawezi kufanya, UTII. Kipaji bila utii ni sawa na kuwa maarufu kwa kuuza bangi. FIX ME JESUS.
Mungu Kwanza-YKM!

Maoni