LUCIFER AMEKUNONG'ONEZA


Quotes by Raphael JL:Kila uwezo aliopewa Adam ulitakiwa kutumika ndani ya EDENI, yaani ndani ya uwepo wa Mungu. Ukiona unafurahia uwezo na vipaji ulivyonavyo nje ya Edeni ujue Lucifer amekunong'oneza, sitashangaa ukijitetea. FIX ME JESUS.
Mungu Kwanza-YKM!

Maoni