TALENT IS A FUNCTION OF VALUES


Quotes by Raphael JL:Tabia mbaya na maadili ya yaliyoharibika hayawezi kubeba kipaji kikafanikiwa kwa muda mrefu sana. Tabia ni kanuni,inakusaidia ukiifanyia kazi,tabia mbaya itahuharibu na tabia nzuri itakustawisha. TALENT IS A FUNCTION OF VALUES.

Ushirika na Mungu!

Maoni