Quotes by Raphael JL:Ukiona hupendi na kinakuuma kuona mtu mwingine na hasa aliye chini yako anafanikiwa mbele yako ujue ubinafsi umeujaa moyo wako,kumbuka Kuna uwezekano mkubwa wa mtu alie chini yako kukupita kuliko wewe kumzuia asikupite. UBINAFSI NI MTAJI WA UHARIBIFU.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni