Quotes by Raphael JL:Kama huwezi kuachana na rafiki anaekusaidia kukosea mpaka anakuvunjia heshima ujue wewe hujipendi na kimsingi adui yako ni wewe mwenyewe. Kumbuka kinachokuunganisha na mtu yoyote kina uwezo wa kuwatenga au kuwaendeleza.
FRIENDSHIP IS A FUNCTION OF TRUST.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni