Quotes by Raphael JL:Ukiona kuna rafiki ambae kila ukikutana nae lazima ukosee au utende dhambi ujue mtu huyo ana USHAWISHI WA UOVU na wewe bado hujajitambua. Kila anaekusaidia kukosea anatumikia nguvu za uharibifu,sio kila rafiki ni rafiki kweli kweli. FRIENDSHIP WORKS WELL BY TRUST.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni