GOD IS THE SOURCE OF MY VALUE


Quotes by Raphael JL:Kama hujui thamani yako halisi ni wazi kuwa utu wako utaharibiwa na ni rahisi sana kuuvunjia heshima mwili wako. Kumbuka thamani hupimwa kutoka kwenye chanzo chake. GOD IS THE SOURCE OF MY VALUE. God is my Value.
Ushirika na Mungu!

Maoni