KUSOMA SIO KUELIMIKA


Quotes by Raphael JL:Ukifika kiwango unaona unajua kila kitu ujue KIFURUSHI chako cha UJINGA kimefikia hatua ya mwisho ya uharibifu na kudumaa,kumbuka kujifunza ni kukua. KUSOMA SIO KUELIMIKA. Fix me Jesus.
Ushirika na Mungu!

Maoni