ONLY TRUTH FREES.


Quotes by Raphael JL:Moja ya mambo yanayoleta ugumu kwenye siasa ya kupingana,ni pale unaempinga anapofanya kwa kiwango kizuri jambo ulilotaka kulitumia kumpinga na kumuabisha. Ni kama vile kwenda kwa Bill Gates na kumwambia akiokoka Bwana Yesu atamfanya kuwa tajiri. ONLY TRUTH FREES.
Ushirika na Mungu!

Maoni