PRESENCE IS A FUNCTION OF VALUE ADDITION.


Quotes by Raphael JL:Thamani, maana  na nguvu ya uwepo wako ni pale unapoambatana na matokeo yanayoshikika na sio kuwepo tu mahali bila kuathiri  kwa uzuri maisha ya watu wanaokuzunguka. Kama hujajua thamani yako ni ngumu sana kuambukiza na kuongeza thamani kwa wengine. PRESENCE IS A FUNCTION OF VALUE ADDITION. 
Ushirika na Mungu!

Maoni