Quotes by Raphael JL:Sijui nani angekuwa baba yetu wa imani kama Ibrahimu asingemuelewa,kumkubali na kumtii Mungu. Sijui wewe utaacha alama gani kama ukimuelewa,ukamkubali na kumtii Mungu,najua jambo moja nguvu ya upekee wako haitakufikisha kwenye hatma yako bila UTII. Ningekuwaje,ningekuwa nimefanya nini kama ningetii tokea zamani? Utii ni mafuta ya kibali. SUCCESS IS A FUNCTION OF COST.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni