Ukiri Wangu:Mimi nimeumbwa kwa kusudi na mpango kamili wa Mungu. Kweli vile nasema,mimi sio ajali wala sio bahati nzuri au mbaya. Mimi ni WAZO LA MUNGU na leo nimetambua wazi kuwa MUNGU HAWEZI KUSAHAU WAZO LAKE, haaaaha,ASANTE BWANA YESU. NIMEBARIKIWA.Mungu ananitosheleza.
By Raphael JL:
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni