Quotes by Raphael JL:Kufanya jambo lisilo sahihi kwa bidii,maarifa na ujuzi wa kipekee huku unajisikia raha na amani ya kutengeneza ni kupoteza rasilimali. Kumbuka uzuri sio usahihi,jiulize yote ufanyayo sasa ni SAHIHI? Mwalimu mzuri anaefundisha uongo kwa bidii ni jipu ndani ya kidonda ndugu.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni