Quotes by Raphael JL: Njia rahisi kabisa ya kuacha ALAMA ni kuwekeza ndani ya maisha ya watu kwa kuwa makini kutambua na kuzitumia fursa zilizopo ulipo. Kilio au uhitaji wa mwingine inaweza kuwa fursa yako,kikubwa hakikisha unaichunguza NIA yako kama unafanya ili iweje. Kumbuka,kidogo ulicho nacho anachokihitaji mhitaji kwake ni kikubwa na kina maana kuliko kikubwa unachotarajia kukipata. ADD VALUE NOW WHEN YOU CAN.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni