ADD VALUE TO OTHERS


Quotes by Raphael JL: Hakuna mtu aliekua na kufanikiwa peke yake, katika safari ya hatma utakutana na watu waliotayari kuwekeza ndani ya maisha yako ili na wewe ufanye hivo pia kwa wengine. Kupenda kusaidiwa tu bila kusaidia wengine pia ni ubinafsi. Jifunze kujitoa kwa ajili ya maisha ya wengine ili uzao wako usisahaulike pindi wewe haupo. ADD VALUE TO OTHERS.
Ushirika na Mungu!

Maoni