ANZA LEO


Quotes by Raphael JL: Kuchukua hatua ya kuacha au kufanya ni msingi na nguzo ya mabadiliko,kubadilika kwa maneno matupu ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki,(kumbuka ni picha tu hiyo). Kumbuka hata imani pasipo matendo imekufa,sembuse mabadiliko ya tabia? ANZA LEO. Fix me Jesus.
Ushirika na Mungu!

Maoni