Quotes by Raphael JL: Kumkubali na kumfurahia mtu asiyekukubali wala kukufurahia ni sawa na kutembea kwenye giza usiku wa manane ukiwa umefumba macho na huku umevaa miwani nyeusi ukitafuta pini ilodondoka. Kama hakukubali, hawezi kukuelewa;kulazimisha kukubalika ni ishara ya kutokujiamini na kudhani bila huyo mtu wewe huna thamani. FRIENDSHIP IS A FUNCTION OF DESTINY TIES.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni