Quotes by Raphael JL: Kuna uzuri ndani ya ubaya, yaani jambo baya unalolipata linaweza kuzaa uzuri wenye utukufu ila inategemea namna utakavyolichukulia na kulisimamia ,kwenye biblia kuna mzoga wa simba ulitoa asali. Historia mbaya inaweza kuficha uzuri kama utaamua kuchunguza. Ni rahisi kuvumilia ugumu unapotokea,ila utafanya nini baada ya ubaya kutokea inahitaji hekima na ufahamu. GOOD IS NOT ALWAYS RIGHT.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni