Quotes by Raphael JL:
Kumfuata mtu usiejua anakoelekea ni sawa na kuingia mkataba wa ushirikiano na upepo,kimsingi ni sawa na kusaga kokoto kwa meno. Kumbuka kuwa paka ana akili kuliko nguruwe na hii haihusiani na umbile. Hata Bendera hufuata upepo ikiwa imefungwa kwenye mti. KUJITAMBUA NI ULINZI.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni