KUPINGWA SIO KUZUIWA. MOVE WITH MOVERS


Quotes by Raphael JL: Inawezekana watu wasikuelewe wewe wala unachokifanya,usichoke wala kujidharau,usiache kufanya wala usione umekosea. Kumbuka,kueleweka ni mchakato,wanaweza kuchelewa kukuelewa lakini watakuelewa tu. Ili mradi una uhakika na njia unayopita,usitishwe na wanaoruka kwa ndege kwa kuwa tu wewe unatembea kwa mguu. Utachelewa sana ukingoja kila mtu akuelewe. KUPINGWA SIO KUZUIWA. MOVE WITH MOVERS.
Ushirika na Mungu!

Maoni