Quotes by Raphael JL:Ukiona watu wengi wanatumia mbinu na nguvu zao zote kumpinga na kumzuia mtu mmoja,ujue hao watu kuna kitu wanakijua kuhusu huyo mtu iwe ni kibaya au kizuri,hii ni kwasababu mtu mmoja anaweza kuwa mfumo. KUPINGWA SIO KUZUIWA.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni