Quotes by Raphael JL:Kumsubiria mtu usiejua kama anaenda unakoenda sio tu ni kupoteza muda bali pia ni sawa na kujizomea huku umefumba pua na mdomo,kumbuka wengine ni wafuasi wa wapita njia,kwao kokote wanakoenda watu kunawahusu. KUUAMINI UPEPO NI KUJIUMIZA.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni