Quotes by Raphael JL:Mfalme Solomoni aliandika mithali 3,000 na nyimbo 1,005,ndo binadamu pekee alieandika kwa kiwango hicho. Kama wewe wimbo mmoja unazaa kiburi,majivuno na dharau hakika ujue Shetani amekunong'oneza.
MAJIVUNO NI MTAJI WA UHARIBIFU. Fix me Jesus.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni