Quotes by Raphael JL:
Usipotambua mamlaka iliyo juu yako huwezi kuwa na mamlaka iliyo chini yako,ni kiwango kile kile cha uasi na kutokutii ndicho utakachotembea nacho mpaka utakapotubu na kuamua kugeuka. Hata kama una vipawa na uwezo Mkubwa kama mlima Kilimanjaro, lazima uwe chini ya mamlaka ili ufanikiwe. Ndo maana wengi wasio chini ya mamlaka hutumia ubabe au ushawishi wa pesa na fursa ili kuwaweka watu chini yako.
MAMLAKA NI MAFUTA YA UTUKUFU. Authority is a function of obedience.
Ushirika na Mungu!
Maoni
Chapisha Maoni