PATTERN PATTERN PATTERN
●Ukiona baba ana
watoto kwa mama wawili au watatu tofauti...JIULIZE
● Ukiona unaishi na kaka zako kama watatu mbele yako
hawajaoa na wewe ni mdogo kuliko wao na wapo tu....kila mahusiano yanaenda ila
hayafiki mwisho....JIULIZE
● Ukiona unaishi na dada zako kama watatu mbele yako
hawajaolewa na wewe ni mdogo kuliko wao na wapo tu....kila mahusiano yanaenda
ila hayafiki mwisho....JIULIZE
● Naomba nielezee sasa. Muda wa discussion ukifika naachia hapo. Ila hili siwezi kunyamaza.
● Kwenye issue za INTELLIGENCE...moja kati ya zana za
kufanyia kazi is your ability to make decisions and judgement based on PATTERN
AND REPITIONS.....
🤔So kumbe you can see a certain pattern...mfano kama
nataka kukukamata Faraja...nasoma pattern yako kwa muda hata wa
mwezi...unaondoka home saa ngap, unapanda gari gani, unaelekea wapi, unakula
wapi, unarudi home saa ngapi...baada ya mwezi I CAN PREDICT YOUR ROUT
● So unaweza kusoma PATTERN ZA FAMILIA...unaona una madada
wanne na mpaka leo hawajaolewa...ila profile zao huwa zinabadilika based on
INFATUATION...anampenda mtu...wanaanza kuelekea mahali...GHAFLA....
●Una wakaka mpaka wanageuka kuwa kama mababu...mpaka hata
wewe mdogo unaogopa kuoa kwani duuu makaka wapo tu...wana kila sababu ya kuoa
ila wapo tu...
● Ukichunguza unaiona PATTERN FULANI...
Hii ni kama pattern
ile ile ya unakuta baba ako alipata mtoto nje kabla ya wewe kuzaliwa...mama
yako nae alikuja na mtoto...wakaona...wakakupata wewe na wenzako...hii nayo ni
PATTERN...
● Ngoja niwape mfano wangu mwenyewe....
-Kuna pattern niliisoma kwenye familia yetu pande zote,yaani
upande wa baba na mama pia...
- Nikaangalia...mama yangu mkubwa ambae ndo wa kwanza kwa
upande wa mama ana watoto wanne na wote kila mmoja ana baba yake....
- Nikaangalia Mjomba.....yaani anaemfuata mama
mkubwa...mtoto wa kwanza ana mama yake...mtoto wa pili ana mama yake na watoto
watatu wa mwisho wana mama yao...PATTERN
- Nikamwangalia mtoto wa kwanza wa mama mkubwa...mtoto wa
kwanza na mama yake...mtoto wa pili na mama yake na mtoto wa tatu na mama yake
ambaye ndo amemuoa...
😊 Mama yangu alifanikiwa kutuzaa sisi tukiwa sita
wote kwa baba mmoja..yeye tu alipona...ALIZIBA PENGO.
🔥NAOMBA KILA MTU AFANYE TATHMINI YA PATTERNS KWENYE
FAMILIA YAKE NA WALIO TAYARI WASEME WANACHOKIONA.
1.PATTERN IN ACADEMICS
2.PATTERN IN RELATIONSHIPS
3.PATTERN IN DEATH
4.PATTERN IN MARRIAGE
5.PATTERN IN LIFE
PLANS AND VISIONS
6.PATTERN IN
PREGNANCY
7.PATTERN IN
DEASESES
●UNACHPASWA KUKIFANYA NI;
-DRAW THE LINE PRAYERS
-MAY THE HOLY SPIRIT
HELP YOU
-REPENT.
- WATAKAOOMBA KWA IMANI, UTAKATIFU NA KUMAANISHA WATAPATA
USHINDI
-SITEGEMEI KESHO,YAANI KUANZIA SAA SITA USIKU HUU KAMA HUMU
NDANI WATU WATACHAT KAMA SIKU ZOTE...
- NAAMINI WATU WATAOMBA...WATATAFUTA SPACE HUKO WALIKO
WAZAME KUOMBA NA SIO KUCAT MAOMBI HAPA
-MUNGU AWAFUNGUE WALIOCHOSHWA NA PATTERNS ZA UHARIBIFU
-WENGI MTAFUNGULIWA
By Pastor Raphael JL
Maoni
Chapisha Maoni