RAFIKI WA ADUI YAKO,ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO


Quotes by Raphael JL: Hata katika kufanya ubaya,usifanye ubaya wote kana kwamba unakufa leo wewe na uzao wako. Bakisha wema kidogo kwani unaowatendea ubaya leo watakufaa kesho,usisahau historia huwa inajirudia kwa wema au ubaya. RAFIKI WA ADUI YAKO,ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO,ni majira tu.
Ushirika na Mungu!

Maoni