UGUMU SIO KUTOKUWEZEKANA


Quotes by Raphael JL: Kama kukata tamaa na kujihurumia kwenye jambo unalofanya kungekuwa na faida basi kuna watu wangekuwa na magholofa angani. Kukata tamaa ni ishara kwamba unajitegemea,jiulize toka umeanza kukata tamaa mpaka leo umesaidikaje? Anaekushauri kukata tamaa, mkate yeye na umuondoe kwenye list ya watu wanaotegemeka. Kumbuka,kukata tamaa ni ishara ya juu ya kiburi na kutomkubali Mungu. UGUMU SIO KUTOKUWEZEKANA.
Ushirika na Mungu!

Maoni