VALUE BY DESIGN


Quotes by Raphael JL:Kumdharau mtu mwingine kwa sababu yoyote ile  ni ishara kwamba hujiamini,hujikubali na ufahamu wako una kilema. Kumbuka,thamani ya mtu haiko wala haindolewi kwa mitazamo na maoni ya watu. VALUE BY DESIGN.
Ushirika na Mungu!

Maoni