CHOOSE TO BECOME. Imechapishwa na Musa tarehe Agosti 16, 2017 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Quotes by Raphael JL:Kujisahaulisha hali ulonayo hakuiondoi hiyo hali. Kubali kuwajibika,hakuna malaika atakuja kukutoa kwenye hali yako kama hauko tayari. Njia rahisi na pekee ya kuukwepa ujinga ni kujifunza. CHOOSE TO BECOME. Ushirika na Mungu! Maoni
Maoni
Chapisha Maoni